NDOTO ZA LUIS MONTES KUCHEZA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA BRAZIL ZAZIMA GHAFLA

Unknown | 10:34 AM | 0 comments


Clash: Luis Montes came off worse than Segundo Castillo when the pair went for a 50-50 ball
Agony: It left Montes in severe pain as his team-mates urged the club doctor to come to his attention
 Mchezaji mwenzake akimuita daktari wa timu baada ya Montes kupata majeruhi kubwa
Worried: Montes' Mexican team-mates look on as their midfielder is lifted on to a stretcher
 Wasiwasi: Wachezaji wenzake wakimtazama Montes anapobebwa na machela.
NDOTO za Luis Montes kuichezea Mexico katika fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil zimezima ghafla kufuatia kuvunjika mguu jana usiku kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Ecuador.
Nyota huyo mwenye miaka 28 alishuhudia timu yake ikishinda mabao 3-1 na yeye akifunga bao dakika ya 33, lakini dakika mbili baadaye alipata majeruhi mbaya.
Montes alibebwa na machela kutoka nje ya uwanja baada ya kugongana na mchezaji wa Ecuador,  Segundo Castillo, na kumuacha kocha wake Miguel Herrera akikiri wazi kuwa timu umwombee mchezaji huyo.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments