Soka na vioja vyake, hii ni video ya penati zilizowahi kufungwa kwa madoido ya nguvu !!
Najua mpaka kukamilika kwa dakika 90 za mechi ya mpira wa miguu huwa kuna vitu vingi vinatokea ukiachana na zile stori za magoli, penati, kona, kadi njano na nyekundu.. viko vingine ambavyo vinabeba pia headlines za aina yake.
Pata picha madoido na vioja vinavyoibuka na kukuacha hoi kwa kicheko… basi kwenye uwanja wa soka nako viko vya aina hiyo… nakukutanisha na kipande cha video ya dakika tano magoli yaliyotokana na penati lakini kuna vioja vya nguvu !!
Unataka
Category: uingereza