YAFAHAMU MAKUNDI YA KLABU BINGWA NA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF) ... YANGA IPO KUNDI A

Unknown | 7:52 AM | 0 comments

Baada ya kumalizika kwa hatua ya mtoano ya michezo ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa barani Afrika, leo May 24 2016 shirikisho la soka barani Afrika CAF na ilichezesha droo ya kuzipanga timu hizo zilizosalia katika Makundi mawili ya A na B.
Kwa upande wa Tanzania Yanga ndio inawakilisha Taifa, nafasi ambayo iliipata baada ya kuitoa GD Esperanca ya Angolakwa jumla ya goli 2-1 katika hatua ya 16 bora.
g
Makundi ya Kombe la shirikisho barani Afrika yaliopangwa leo May 24 2016.
h
Makundi ya Klabu Bingwa Afrika yaliopangwa leo May 24 2016

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments