MAUJUZI YA RONALDINHO NI YA KIHISTORIA

Unknown | 10:18 PM | 0 comments


Ronaldinho ni moja kati ya wachezaji waBrazil waliowahi kutamba katika soka la Ulaya kwa muda mrefu, kiasi hata cha kufanikiwa kutwaa tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia, Ronaldinho amefanya vitu vingi katika soka, amefanikiwa kutwaa mataji yote makubwa aliyowahi kuwania ila leo mtu wangu naomba nikuletee video ya skills zake uwanjani ambazo ni ngumu kusahaulika.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments