RWANDA YAPANGWA KUNDI LA KIFO FAINALI ZA CHAN 2016 KIGALI

Unknown | 6:46 AM | 0 comments


Na Hamadi Harakaze, KIGALI
WENYEJI Rwanda wamepangwa kundi la kifo katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), wakiwekwa pamoja na vigogo Ivory Coast, Morocco na Gabon katika Kundi A.

Katika droo iliyopangwa jana mjini Kigali, Rwanda - Nigeria imepangwa Kundi C pamoja na 
Tunisia, Niger na Guinea.
Uganda walioitoa Tanzania kwenye hatua za awali za michuano hiyo, wamepangwa Kudi D pamoja na Zimbabwe, Mali na Zambia, wakati Kundi B lina timu za 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Ethiopia, Cameroun na Ethiopia.

Mabingwa watetezi, Libya, waliofunga Ghana kwa penalti 4-3 katika fainali zilizopita, hawakufuzu safari hii.

MAKUNDI: 
KUNDI A: Rwanda. Gabon, Ivory Coast, Morocco

KUNDI B: DRC, Ethiopia, Cameroon, Ethiopia

KUNDI C: Tunisia, Nigeria, Niger, Guinea

KUNDI D: Zimbabwe, Mali, Uganda, Zambia

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments