ENGLAND 'WEUPE' TU KWA HISPANIA, WAGONGWA 2-0
Kipa
wa England, Joe Hart akishuhudia mpira ukimpita kwenda nyavuni baada ya
kupigwa na Juan Mata (kulia) kuifungia Hispania bao la kwanza katika
ushindi wa 2-0 usiku wa jana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa
mjini Alicante. Bao lingine la Hispania lilifungwa na Santi Cazorla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Category: uingereza
0 comments