IBRAHIMOVIC AIFUNGIA BAO LA USHINDI SWEDEN YAILAZA 2-1 DENMARK KUFUZU EURO 2016

Unknown | 10:37 PM | 0 comments


Mshambuliaji wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili timu yake kwa penalti dhidi ya Denmark katika mchezo wa mchujo kuwania tiketi ya Euro 2016 usiku huu. Sweden ilishinda 2-1, bao lingine akifunga Emil Forsberg wakati la Denmark lilifungwa na Nicolai Jorgensen PICHA ZAIDI GONGA HAPA

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments