AZAM FC YAPAA KILELENI LIGI KUU

Unknown | 7:33 AM | 0 comments

MATOKEO YA LIGI KUU YA VODACOM TZ BARA
Oktoba 29, 2015
Prisons 1-0 African Sports
JKT Ruvu  2-4 Azam FC
Oktoba 28, 2015
Toto African 1-0 Mgambo Shooting
Mwadui FC 2-2 Yanga SC
Mtibwa Sugar 1-0 Kagera Sugar
Mbeya City 1-1 Majimaji FC
Ndanda FC 0-0 Stand United
Simba Sc 1-0 Coastal Union

Didier Kavumbangu (kushoto) akishangilia na Farid Mussa baada ya kufunga bao la kwanza

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments