ARSENAL, LIVERPOOL HAKUNA MBABE
Mshambuliaji wa timu ya Arsenal, Alexis Sanchez (katikati) akiwatoka wachezaji wa timu ya Liverpool katika Uwanja wa Emirates.
Sanchez wa Arsenal akipiga shuti mbele ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren (6) kuelekea kwenye lango la wapinzani wao hao.
Kipa wa Arsenal, Petr Cech
akiokoa mpira wa hatari uliopigwa na Christian Benteke wa Liverpool
(katikati), nyuma yake ni Nacho Monreal wa Arsenal. …
Mshambuliaji wa timu ya Arsenal, Alexis Sanchez (katikati) akiwatoka wachezaji wa timu ya Liverpool katika Uwanja wa Emirates.
Sanchez wa Arsenal akipiga shuti mbele ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren (6) kuelekea kwenye lango la wapinzani wao hao.
Kipa wa Arsenal, Petr Cech
akiokoa mpira wa hatari uliopigwa na Christian Benteke wa Liverpool
(katikati), nyuma yake ni Nacho Monreal wa Arsenal.
Kiungo wa Liverpool, James Milner (kushoto), akijaribu kumzuia beki wa Arsenal, Monreal.
Mlinda mlango wa Arsenal Petr Cech aliokoa mara mbili mipira ya
hatari iliyokuwa ikielekea langoni mwake na kuisaidia timu yake kupata
alama moja katika mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Liverpool.Katika mchezo huo mikwaju miwili ya Philippe Coutinho ililenga mwamba huku kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey akikataliwa goli alilofunga kipindi cha kwanza kutokana na kuwa katika mstari wa kuotea.
Cech aliokoa kwa mara nyingine mkwaju wa karibu wa Christian Benteke na kuucheza tena kwa umahiri mpira uliopigwa na Coutinho uliokuwa unaelekea kwenye nyavu.
Juhudi za Alexis Sanchez ziliishia kulenga mwamba kabla ya mlinda mlango wa Liverpool Simon Mignolet kuokoa mkwaju wa Olivier Giroud.
ARSENAL (4-2-3-1): Cech 8; Bellerin 6.5, Chambers 5, Gabriel 6.5, Monreal 6.5; Coquelin 7.5 (Oxlade-Chamberlain 82mins), Ramsey 6.5; Ozil 6, Cazorla 6, Sanchez 6.5; Giroud 5.5 (Walcott 73)
Subs not used: Ospina, Debuchy, Gibbs, Arteta, Flamini
Booked: Gabriel
Manager: Wenger 6
LIVERPOOL (4-3-3): Mignolet 7; Clyne 7, Lovren 7, Skrtel 7.5, Gomez 7; Can 6.5, Milner 7, Lucas 6.5 (Rossiter 76); Coutinho 8.5 (Moreno 88), Firmino 6.5 (Ibe 63), Benteke 7
Subs not used: Bogdan, Sakho, Origi, Ings
Booked: Skrtel, Can, Gomez, Mignolet
Manager: Rodgers 7.5
Referee: Michael Oliver 8
Attendance: 60,080
MOM: Coutinho
Ratings by Martin Keown
Category: uingereza
0 comments