Cristiano Ronaldo kanunua jumba hili la kifahari New York

Unknown | 9:49 PM | 0 comments

 



Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kununua jumba la kifahari lililopo katika mji wa New York Marekani kwa dola za kimareka milioni 18 ambazo ni zaidi ya bilioni 30 za Kitanzania.
Ronaldo-main
Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hiyo alilipata kutoka katika novel ya ’50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mapngo wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka.
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (2)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (1)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment
Trump-Tower-on-Fifth-Avenue
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (6)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (5)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (4)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (3)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (9)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (8)
Ukiwa juu muonekano wa maeneo jirani
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (7)
Chumba cha kulala

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments