Home �
uingereza
� Matokeo ya FC Barcelona vs Real Betis kwenye La Liga haya hapa
Unknown |
11:29 PM |
0
comments
FC Barcelona leo imeendeleza wimbi la ushindi katika La Liga baada ya kuifunga Real Betis mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa katika la Camp Nou, Barcelona Spain.
Magoli ya Barcelona yalifungwa na Lionel Mess aliyefunga mawili, na moja walijifunga wenyewe Betis kupitia Figueras, goli la kufutia machozi la Betis lilifungwa na Ruben Castro.
Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Category:
uingereza
0 comments