Matokeo ya Man UTD vs Newcastle – Chelsea vs Stoke City haya hapa
Vilabu vya Manchster United na Chelsea leo vimepata ushindi mnono katika mfululizo wa ligi kuu ya Uingereza.Magoli ya Manchester United yalifungwa na Juan Mata aliyefunga mawili, Januzaj na Chicharito nao walifunga kila mmoja goli moja.
Chelsea nao walirudi katika hali ya ushindi baada ya kufungwa wiki iliyopita, leo hii wakicheza nyumbani dhidi ya Stoke City wameweza kutoka na ushindi wa 3-0.
Mohamed Salah, Frank na Willian walifunga magoli ya Chelsea leo hii.
Matokeo mengine Manchester City iliifunga Southmpton 4-0 mapema leo hii.
Category: uingereza


0 comments