BONANZA LA VIONGOZI WA MICHEZO WANAWAKE AFRIKA LAFANA!!
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na Wanahabari
katika Bonanza la Viongozi Wanawake wa Afrika lililofanyika Uwanja wa
Taifa Jijini Dar es Salaam leo(Jana)
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la Viongozi Wanawake wa Michezo wa Afrika
wakiangalia Michezo katika Bonanza lililofanyika Uwanja wa Taifajijini
Dar es Salaam leo (jana)
Category: tanzania
0 comments