MOURINHO ATUA MAN U NA LUNDO LA MABOKSI

Unknown | 10:14 PM | 0 comments


Maboksi ya kocha Mreno Jose Mourinho yakiondolewa mchana wa leo katika nyumba aliyokuwa anaishi London tayari kuhamishiwa Manchester, ambako anakwenda kusaini Mkataba wa kufundisha Manchester United baada ya kufukuzwa kwa Mholanzi, louis Van Gaal  

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments