HIZI Hapa Style 20 kali za ushangiliaji wa magoli katika soka, Ronaldinho na Balotelli wapo pia (+Video)
Mchezo wa soka ni miongoni mwa michezo
inayoongoza kwa kupendwa duniani kote, vituko na burudani yake
havijaishia uwanjani kwa wachezaji kupiga chenga na kufunga magoli na
mashabiki kushangilia, kwenye soka tumewahi kushuhudia style tofauti
tofauti za ushangiliaji wa magoli kwa wachezaji wa soka, nyingine zikiwa
zinamaana au kuashiria ujumbe fulani kwa mtu fulani au jamii.
Mtu wangu wa nguvu style za ushangiliaji
wa magoli kwa wachezaji ni moja kati ya vitu vinavyotoa burudani kwa
watazamaji wa mchezo wa soka, November 25 naomba nikusogezee video ya
style 20 kali na kuchekesha katika mchezo wa soka Ronaldinho, Rooney, Ronaldo na Mario Balotelli wapo pia katika hii list, style zao zilikuwa headlines katika soka.
Video ya style 20 kali za ushangiliaji katika soka
Category: uingereza
0 comments