NEYMAR AIKAMATA REKODI YA MESSI NA ETO'O BARCELONA IKIUA 5-2 LA LIGA

Unknown | 11:56 PM | 0 comments



Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar amekuwa mchezaji mwingine wa timu hiyo kufunga mabao manne katika mechi moja baada ya Messi, tangu Mcameroon Samuel Eto'o alipofanya hivyo mwaka 2008. Neymar alifunga mabao mawili kwa penalti jana kati ya manne katika mchezo wa La Liga, wakati bao lingine la Barca lilifungwa na Luis Suarez, Barcelona ikishinda 5-2 dhidi ya Rayo Vallecano.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments