MAN UNITED YATUPWA NJE KOMBE LA LIGI ENGLAND

Unknown | 7:36 AM | 0 comments


Nyota wa Manchester United wakiwa wanyonge baada ya kutolewa katika hatua ya 16 Bora ya Kombe ya Ligi England, maarufu kama Capital One Cup jana usiku, kufuatia kufungwa kwa penalti 3-1 na Middlesbroughon baada ya sare ya 0-0

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments