Hii hapa ratiba za mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zitakazochezwa September 29 na 30 (Leo na Kesho) …
Mtu wangu wa nguvu kama kawaida ripota
wako wa nguvu nasogezea karibu yako kila kitu kinachonifikia, hii ni
ratiba za mechi za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumanne
ya September 29 na Jumatano ya September 30. Hii ni ratiba ya mechi za
pili za kila klabu inayocheza Jumanne na Jumatano.
Hii ni ratiba ya mechi za Jumanne ya September 29
Hii ni ratiba ya mechi za Jumatano ya September 30
Category: uingereza
0 comments