LIGI YA MABINGWA ULAYA MANCHESTER UNITED YAUWA
Klabu ya
Manchester United August 26 imeshuka dimbani kucheza mechi yake ya
marudiano na Club Brugge ya Ubelgiji, mchezo huo ambao Club Brugge
imecheza nyumbani lakini imepokea kichapo cha goli 4-0. Magoli ya Man
United yamefungwa na nahodha wa timu hiyo Wayne Rooney dakika ya 20, 49
na 57 huku goli la nne lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 63.
Picha za mechi
Nakusogezea video ya magoli mtu wangu
Category: uingereza
0 comments