RONALDINHO SASA NI FULL BATA NDANI YA 'MAKLABU'

Unknown | 2:05 PM | 0 comments


Unamkumbuka Ronaldinho wa Barcelona, alikuwa anatisha lakini sasa mpira umegoma anakokipiga huko Mexico.

Kiungo huyo sasa anasifika kwa kujirusha katika majumba ya stahere ya usiku. Angalia mwenyewe.
 




Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments