NEYMAR, SUAREZ WATUPIA NA KUIVUSHA BARCELONA FAINALI KOMBE LA MFALME

Unknown | 2:09 PM | 0 comments


  
Luis Suarez amefunga bao moja huku Neymar akitupia mawili na kuiwezesha Barcelona kutinga katika fainali ya Kombe la Mfalme.

Barcelona imeitwanga Villareal kwa mabao 3-1 katika mechi ya pili ya nusu fainali na kushinda kwa jumla ya mabao 6-2.






Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments