Home �
tanzania
� NGORONGORO YAKOMAA NAO WAKENYA, DAKIKA 90 NGOMA 0-0
Unknown |
12:33 AM |
0
comments
 |
| Timu
ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Tanzania, Ngorongoro
Heroes imejiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenye Fanali za
Afrika mwakani nchini Senegal, baada ya kulazimisha sare ya bila
kufungana na Kenya Uwanja wa Kenyatta, Machakos nchini Kenya jioni hii
katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza. Ngorongoro sasa inahitaji
hata ushindi wa 1-0 katika mchezo wa marudiano Dar es Salaam ili kusonga
mbele. Hongera vijana. |
Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Category:
tanzania
0 comments