FULL MKANDA VITUKO NA MATUKIO MECHI YA YANGA, SIMBA TAIFA JANA

Unknown | 12:17 PM | 0 comments


Shabiki maarufu wa Yanga, akitolea uwanjani chini ya ulinzi mkali huku akiwa amevua suruali yake nusu, baada ya kuruka na kuingia pasipohusika.
Shabiki wa Yanga akikimbia kuwapita askari walionogewa kutazama mpira na kuelekea kuiba taulo la kipa wa Simba Ivo Mapunda, golini.
Shabiki huyo akitimua mbio baada ya kufanikiwa kuiba taulo hilo akielekea kulirusha kwa mashabiki wenzake.
Speed 100 kuelekea kwa mashabiki wenzake.....
Shabiki maarufu wa Yanga akipakiwa kwenye gari la polisi....
Shabiki wa Yanga aliyeiba taulo la Ivo, akipakiwa kwenye gari la Polisi....
Wanadada mashabiki wa Yanga wakiwa wamezimia wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya timu yao kufungwa bao la kuongoza na wapinzani wao wa jadi Simba.
Huduma ya kwanza Msaraba Mwekundu, wakiwabeba wanadada waliozimia...
Msuva akiondoka na miondoko ya Kiduku baada ya kuisawazishia timu yake bao...
Ivo Mapunda akilambishwa kadi ya njano wakati akichelewesha kuanza mpira baada ya timu yake kuongoza...
Mashabiki wa Simba wakishangilia...
Wakihisi wameshinda kabla ya bao hilo kusawazishwa....
credit: mafoto web

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments