MRISHO NGASA AMZUNGUMZIA HAMIS TAMBWE WA SIMBA ... HII HAPA KAULI YAKE

Unknown | 11:25 PM | 0 comments

DSC_1384


Kwa mara nyingine tena katika kipindi cha wiki mbili, winga machachari wa klabu ya Yanga Mrisho Khalfan Ngassa amemsifia mshambuliaji wa timu mahasimu Simba Mburundi Amiss Tambwe.

NGASSATAMBWE copy

Akitumia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter Mrisho Ngassa alimsifia Tambwe kwa kumuita mshambuliaji bora. Hatua hiyo ya Ngassa ilikuja baada ya Tambwe kufunga mabao mawili katika mchezo wa jana dhidi ya Ruvu Shooting uliopigwa uwanja wa taifa na Simba kutoka na ushindi wa 3-2.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments