Aliyoyatamka Raisi wa Barca kuhusu mkataba mpya wa Messi

Boss huyo wa Barca amesema nia ya klabu ni kuendelea kuwa na Messi
kwa muda mrefu na ndio maana lengo kwa sasa ni kumshawishi Messi, mwenye
miaka 26 kuendelea kubaki Camp Nou.
“Tunataka kumfanya mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi duniani na
mpaka kufikia mwishoni mwa msimu kila kitu kitakuwa sawa,” Bartomeu
alikaririwa na AS.
“Hatutomuuza. Yupo nasi na matumaini ni kwamba atastaafu soka akiwa hapa.”
Category: uingereza
0 comments