KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013
Timu
ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya
Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0
katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini
humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika
dakika ya 35 na 69.
GPL
Category: tanzania
0 comments