Dereva wa Formula One Michael Schumacher apata ajali mbaya na kukimbizwa hospitali.

Schumacher mwenye miaka 44 alidondoka mapema Jumapili na kugonga
kichwa chake kwenye mwamba na hizi ni taarifa kutoka kwenye kituo
ambacho alikuwa anacheza huo mchezo.
Japokuwa managers wa kituo hicho wamesema Schumacher alikuwa amevaa helmet wakati anacheza.
Baada ya ajali hiyo Michael alofikishwa kwenye hospital ya the Grenoble University Hospital Center kwa ajali ya matibabu.
Category: uingereza
0 comments