Home �
tanzania
� TENGA AAGA RASMI TFF, AFUNGUA MKUTANO MKUU KWA HOTUBA 'NDEEEFU' YA HISTORIA YA MIAKA NANE YA UTAWALA WAKE
Unknown |
9:52 PM |
0
comments
|
Rais
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga anayemaliza muda
wake, akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa shirikisho hilo
asubuhi hii katika ukumbi wa NSSF Water Front, utakaofuatiwa na Uchaguzi
Mkuu kesho. Tenga alitoa hotuba ndefu akielezea mafanikio aliyoyaleta
TFF katika kipindi cha miaka yake nane ya kuongoza chombo hicho tangu
mwaka 2004. |
|
Mgombea nafasi ya Umakamu wa Rais wa TFF, Wallace Karia kushoto akisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Tenga |
|
Kutoka kulia, Mgombea Urais wa TFF, Athumani Nyamlani, Mbunge wa Temeke, Zuberi Mtemvu na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu' |
|
Kulia
ni Ofisa Maendeleo wa Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) Kanda ya
Kusini, Ashford Mamelodi kutoka Botswana na kushoto Henry Tandau,
Mkufunzi wa FIFA kutoka hapa hapa Tanzania |
|
Rais wa heshima wa TFF, Muhiddin Ndolanga yupo pia |
|
Mgombea Urais wa TFF, Jamal Malinzi kushoto |
|
Wajumbe |
|
Wajumbe |
|
Wajumbe |
|
Mwenyekiti
wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad Said Abeid kushoto akisoma dua maalum
kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu. Kulia ni Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj
Ismail Aden Rage |
|
Wajumbe wakiitikia dua |
|
Meza kuu |
|
Wajumbe |
|
Wajumbe |
|
Mwenyekiti
wa Kamati ya Nidhamu na Usuluhishi ya TFF, Kamanda Mstaafu wa Polisi
Kanda Maalum Dar es Salaam, Alfred Tibaigana kushoto na kulia ni kocha
wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen. |
Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Category:
tanzania
0 comments