CAPITAL ONE CUP: TOTTENHAM 2 HULL CITY 2 (PEN 8-7) SPURS WASONGA MBELE KWA MATUTA!!

Unknown | 10:20 PM | 0 comments

 

Paying the penalty: Friedel saved Elmohamady's spot kick (below) and is mobbed by his team-mates
Kipa  Friedel akipongezwa baada ya kuokoa mkwaju wa penati.
Mechi ya Raundi ya 4 ya Capital One Cup Usiku huu imeamuliwa kwa Mikwaju ya Penati baada ya Tottenham na Hull City kutoka Sare ya 1-1 katika Dakika 90 na 2-2 katika Dakika 120 na Mshindi ni Spurs kwa Penati 8-7.

Kocha wa Tottenham Andre Villas-Boas akisalimiana na kocha wa Hull Steve Bruce kabla ya mtanange.
Dakika ya 16 mchezaji wa Spurs Gylfi Sigurdsson anaipatia bao la kwanza Tottenham wakicheza kwenye uwanja wao wa White Hart Lane kwenye mchezo wa Raundi ya nne ya CAPITAL ONE CUP. Kipindi cha pili dakika ya 55 Hull wakaongeza mashambulizi kwenye lango Spurs na hatimaye kipa wao kujifunga bahati mbaya na mtanange kugeuka kwa upande wa Spurs kwa wenyeji kusawazisha bao hilo na kufanya 1-1.Gylfi Sigurdsson akiachia shuti kali na kuipatia bao Tottenham dhidi ya Hull City Mousa Dembele akipambana na Paul McShane wa Hull City Mchezaji wa Tottenham Hotspur Erik Lamela akimzuia mchezaji wa Hull City David Meyler ili asonge mbele.  Mchezaji wa Hull Curtis Davies (katikati) cakishangilia baada ya Hull kusawazisha na kufanya 1-1 na Tottenham kipindi cha pili.http://assets.espn.go.com/design05/images/2013/1030/hullcitycelebpaulmcshanegoalvthfc20131030_576x324.jpgWachezaji wa Hull wakishangilia baada ya kufunga bao la pili.
Paying the penalty: Friedel saved Elmohamady's spot kick (below) and is mobbed by his team-mates
Mchezaji wa Hully akichonga penati
Keep the faith: Friedel dives low to his right to keep out Elmohamady's penalty and set-up a clash with West Ham
Friedel akijitupa na kuokoa shuti kali la mkwaju wa penati
Zero to hero: Friedel was at fault for the own goal but made amends at the end of the penalty shootout
 Kipa wa Spurs  Friedel akipongezwa kwa kazi poa!!
All smiles: Dembele, Kane, Walker, Vertonghen, and Defoe celebrate reaching the quarter-finals
Dembele, Kane, Walker, Vertonghen, na Defoe wote furaha baada ya kusonga hatua inayofuata.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments