OFISI YA MAKAMU WA RAIS SOKA YATOKA SARE YA 1-1 NA MAMBO YA NJE SHIMIWI

Unknown | 5:10 PM | 0 comments

 

 Kocha wa timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Jumanne Ucheche, akitoa maelekezo wa kwachezaji wake wakati wa mapumziko, wakati timun yake ilipokuwa ikimenyana na Timu ya Wizaya ya Mambo ya Nje, katika mashindano ya SHIMIWI, mchezo uliochezwa leo jioni kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha UDOM. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare kwa kufungana bao 1-1, huku mambo ya nje wakitangulia kuziona nyavy za OMR na baadaye bao hilo kusawazishwa na Winga tereza wa OMR, Lucas
 Kikosi cha timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika picha ya pamoja kabla ya mtanange huo.
 Wachezaji wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo.....
 Wachezaji wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo.....
 Wachezaji wa timu zote mbili wakikaguliwa kadi zao za usajili kabla kuanza kukipiga.
 Kocha wa OMR, Jumanne Ucheche (kushoto) Meneja wa timu, Magoti (katikati) na Dokta wa timu, wakifuatilia mchezo huo kwa umakini.
 Baadhi ya wachezaji wa akiba wa OMR....
Morariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............................
sufiani blog

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments