MECHI ZA KAMBA LEO ASUBUHI, RAS KAGERA YAWABURUZA UKAGUZI SHIMIWI DODOMA
Kocha
wa timu ya Kamba ya Ras Kagera, Adam Juma, akiwahimiza wachezaji wake
kuongeza nguvu ili kuwaburuza wapinzani wao, Ukaguzi wakati wa mchezo
wao uliochezwa leo asubuhi kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Kocha wa timu ya Kamba ya Ras Kagera, Adam Juma, akiwahimiza wachezaji
wake kuongeza nguvu ili kuwaburuza wapinzani wao, Ukaguzi wakati wa
mchezo wao uliochezwa leo asubuhi kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Katika mchezo huo Ras Kagera ilishinda baada ya kuwaburuza wapinzani
wao mara mbili mfululizo.
Wavuta
kamba wanawake wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakigangamala kuwaburuza
wenzao wa Uchukuzi, wakati wa mchezo wao uliochezwa leo asubuhi kwenye
uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, katika mashindano ya SHIMIWI. Katika
mchexo huo OMR walizidiwa na wenza wa Uchukuzi.
Ni OMR v/s Uchuku, ilikuwa ni patashika viatu kuvuka hapa...........
Timu ya wananume ya Kamba ya OMR, ikiwa mzigoni na Uchukuzi, leo asubuhi kwenye uwanja wa Jamhuri. Uchukuzi walishinda.
Patashika ilikuwa kama hivi....
mafoto blog
Category: tanzania
0 comments