DI CANIO AFUNGISHWA VIRAGO SUNDERLAND
Muitaliano Paolo Di Canio ametimuliwa kazi ya kocha mkuu katika kikosi cha Sunderland .
Uongozi wa Sunderland umemtimua Di Canio mara baada ya timu yake kuvurunda tokea kuanza kwa msimu huu.
Sunderland sasa inashika mkia wakati msimu uliopita ilimaliza ikiwa imeponea chupuchupu kuteremka daraja.
Mechi yake ya mwisho ilikuwa ni ile Sunderland iliyopoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya West Bromwich Albion.
MECHI ZA DI CANIO AKIWA NA SUNDERLAND PREMIER LEAGUE
G
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
WIN%
|
12 |
2 |
3 |
7 |
11 |
22 |
17% |
MECHI ZA DI CANIO, MSIMU HUU NA ULIOPITA
2012-13April 7 - Chelsea 2 Sunderland 1 (L)
Apr 14 - Newcastle 0 Sunderland 3 (W)
Apr 20 - Sunderland 1 Everton 0 (W)
Apr 29 - Aston Villa 6 Sunderland 1 (L)
May 6 - Sunderland 1 Stoke 1 (D)
May 12 - Sunderland 1 Southampton 1 (D)
May 19 - Tottenham 1 Sunderland 0 (L)
2013-14
August 17 - Sunderland 0 Fulham 1 (L)
Aug 24 - Southampton 1 Sunderland 1 (D)
Aug 27 - Sunderland 4 MK Dons 2 [Capital One Cup] (W)
Aug 31 - Crystal Palace 3 Sunderland 1 (L)
September 14 - Sunderland 1 Arsenal 3 (L)
Sep 21 - West Brom 3 Sunderland 0 (L)
WACHEZAJI ALIOWASAJILI NA KUWAACHA DI CANIO
ALIOWASAJILI: Modibo Diakite (Lazio, free), Duncan Watmore (Altrincham, undisclosed), Valentin Roberge (Maritimo, free), Cabral (Basle, free), David Moberg Karlsson (IFK Gothenburg, free), Vito Mannone (Arsenal, £2m), Jozy Altidore (AZ Alkmaar, £6m), El Hadji Ba (Le Havre, undisclosed), Emanuele Giaccherini (Juventus, £8.6m), Ondrej Celustka (Trabzonspor, season-long loan), Charis Mavrias (Panathinaikos, £2.5m), Ki Sung-yueng (Swansea, season-long loan), Fabio Borini (Liverpool, season-long loan), Andrea Dossena (Napoli, season-long loan).ALIOWAACHA: Ahmed Elmohamady (Hull, £2m), James McClean (Wigan, £2m), Titus Bramble (released), Matthew Kilgallon (Blackburn, free), Ryan Noble (Burnley, free), Alfred N'Diaye (Eskisehirspor, season-long loan), Simon Mignolet (Liverpool, £9m) Danny Graham (Hull, season-long loan), Billy Knott (Wycombe, one-month loan), Stephane Sessegnon (West Brom, £6m).
Category: uingereza
0 comments