Simba balaa .... Yaichapa Yanga ikiwa pungufu

Unknown | 6:07 PM | 0 comments

Pamoja na Simba kuwa pungufu, timu ya soka ya Yanga imetepeta baada ya kusambaratishwa kwa goli 2-1.

-Kwa matokeo hayo, Simba anajikita kileleni kwa tofauti ya alama 5.





Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments