Chelsea yazidi kujikita kileleni ... Matokeo zaidi ya mechi za Jana EPL Haya hapa ....

Unknown | 7:38 AM | 0 comments


Vinara wa ligi kuu ya England Chelsea wameendelea kuonyesha kwamba wamedhamiria kutwaa ubingwa msimu huu baada ya kuifunga Swansea bao 3-1.

Mchezo huo ambao ni mmoja kati ya michezo sita iliyochezwa Jumamosi hii ulipigwa katika dimba la Stamford Bridge jijini London na mpaka mapumziko matokeo yalikua 1-1 Cesc Febregas akitangulia kufunga kabla ya Fernando Lloriente hajaisawazishia Swansea.

Kipindi cha pili Pedro na Diego Costa waliongea mabao kwa upande wa Chelsea na kufanya mchezo huo kumalizika kwa ushindi kwa Chelsea bao 3-1.

MATOKEO YA MECHI ZOTE EPL JUMAMOSI


  • Chelsea 3-1 Swansea
  • Everton 2-0 Sunderland
  • Crystal Palace 1-0 Middlesbrough
  • Hull City 1-1 Burnley
  • West Brom 2-1 Bournemouth
  • Watford 1-1 West Ham

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments