SIMBA YAIADHIBU RUVU SHOOTING

Unknown | 7:31 PM | 0 comments

Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimlamba chenga, Beki wa rTimu ya Ruvu Shooting, Damas Makwaya katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopogwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 2-1.
Winga machachari wa Timu ya Simba, Shiza Kichuya akijiandaa kuupiga mpira katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Ruvu Shooting, uliopogwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 2-1.
Mwinyi Kazimoto wa Simba akiupokea mpira.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments