Hii hapa ratiba ya mechi kali zinazochezwa leo Barani Ulaya
Mechi mbalimbali za soka zinachezwa leo Jumanne katika ligi mbali mbali barani Ulaya.
Nchini England hakutakua na mechi za ligi kuu ya nchi hiyo kama ilivyo Spain, Ujerumani,Italia na Ufaransa ila zitapigwa mechi 8 za michuano ya kombe la ligi nchini humo amvayo zamani ilikua ikijulikana kama Kombe la Capital One.
Mabingwa Leicester City watakua nyumbani kuwaalika Chelsea katika mchezo ambao Ng'olo Kante atarejea Katika dimba la King Power kucheza dhidi ya waajiri wake hao wa zamani.
Tumekuwekea hapa Ratiba kamili ya mechi zote za leo kwa saa za hapa Nyumbani
ENGLAND - EFL CUP
- Nottigham Forest vs Arsenal
- Newcastle United vs Wolves
- Leicester City vs Chelsea
- Leeds United v Blackburn Rovers
- Derby vs Liverpool
- Everton vs Norwich
- Brighton vs Reading
- Bournemouth vs Preston
NOTE : MECHI ZOTE HIZI ZITAANZA SAA 3 NA DAKIKA 45 USIKU.
SPAIN - LA LIGA
- 9:00 PM - Malaga vs Eibar
- 11:00 PM - Sevilla vs Real Betis
GERMAN - BUNDESLIGA
- Damstadt 98 vs Hoffenheim
- Ingolstadt vs Frankfurt
- Wolfsburg vs Borussia Dortmund
- Freigburg vs Humburg
MECHI ZOTE HIZI ZITAANZA SAA 3 KAMILI USIKU.
ITALIA - SERIE A
- 9:45 PM - Milan vs Lazio
UFARANSA - LEAGUE 1
- 8:00 PM - Lille vs Toulouse
- PSG vs Dijon
Category: uingereza
0 comments