Home �
uingereza
� EDEN HAZARD AIBUKA MCHEZAJI BORA
Unknown |
9:07 AM |
0
comments
Winga na mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji anayeichezea Chelsea Eden Hazard amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti katika ligi kuu ya England.
Hazard ambaye amekua na mchezo mzuri tangu kuwasili kwa kocha Antonio Conte amewashinda Beki wa kulia wa Manchester United Antonio Valencia,Winga wa Manchester City Raheem Steeling na nahodha wa Hull City Curtis Davis.Hii ni tuzo ya kwanza ya mchezaji bora wa mwezi kwa mchezaji huyo tangu ajiunge na Chelsea.
Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Category:
uingereza
0 comments