DAVID LUIZ AREJEA CHELSEA

Unknown | 7:45 AM | 0 comments

Beki David Luiz ameonyesha furaha yake baada ya kukamilisha usajili wa pauni million 32 kurejea tena Chelsea.

Luiz aria wa Brazil aliuzwa PSG ya Ufaransa akitokea Chelsea kwa pauni million 50 na kumfanya kuwa mmoja wa mabeki ghali zaidi duniani lakini jana, rasmi amerejea jijini London.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments