Brazil, Argentina zafuzu kucheza Kombe la Dunia 2018
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymer Jr
Wacheza samba timu ya taifa ya Brazil walipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ecuador
mshambuliaji Neymer junior, aliipatia timu yake bao la kwanza kwa penati beki wa kushoto wa Ecuador Walter Ayovi, akajifunga kisha kinda Gabriel Jesus, akihitimisha bao la ushindi kwa brazil.
Argentina nao waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Urugway bao hilo likuwekwa kambani na mshambuliaji wao mahiri Lionel Messi.
Wekundu weupe wa Paraguay nao wakaibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Chile La Roja magoli ya Paraguay yakifungwa na Oscar Romero na beki Paulo da Silva huku bao pekee la Chile likifungwa na kiungo Arturo Erasmo Vidal.
Category: uingereza
0 comments