SUAREZ AIPA BARCA UBINGWA LA LIGA

Unknown | 12:01 PM | 0 comments

Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiruka hewani kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote matatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Nuevo Los Carmenes. Ushindi huo umeifanya Barca kufikisha pointi 91 baada ya kucheza mechi 38 na kutwaa ubingwa wa La Liga, wakiwazidi kwa pinti moja mahasimu, Real Madird

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments