KUTANA NA MABUSU YALIYOWAHI KUZUA HISIA TOFAUTI KABISA UWANJANI

Unknown | 12:11 PM | 0 comments


Kila mtu anafahamu fika kuwa busu si kitu kigeni katika mazingira ya ulimwengu wa sasa na hata zamani pia. Watu hufanya hivi kuonesha mapenzi ya dhati kwa wenzi wao ama kufikisha ujumbe fulani.

Katika mchezo wa mpira wa miguu, mara nyingi tunaona wachezaji wakiwabusu ama wake zao au wapenzi wao na vitu kama hivyo.

Lakini kuna matukio yasiyo ya kawaida ambapo tumeshuhudia wachezaji wakibusiana wenyewe kwa wenyewe . Haya ndio matukio manne ambayo yalileta hisia zisizo za kawaid akatika ulimwengu wa soka.

4. Busu la Messi dhidi ya Alba
 Hii ilitokea wakati Messi alipofunga goli zuri na ndipo Jordi Alba aliopjikuta anapiga busu zito bila kujua huku Messi kwa upande wake akilipokea pia bila ajizi. Wakati mwingine mchezo wa mpira wa miguu ni mzuri sana.

Busu la Debuchy dhidi ya Giroud
 wakiwa timu ya taifa na kufunga goli maridadi. Baada ya goli hilo wawili hao walijikuta wakipigana busu zito kwa furaha bila ya kujali kitendo hicho kingezua mjadala machoni mwa watu.

2.Busu la Gerrard dhidi Alonso
 Hii ilikuwa wakati wa fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya wakati Liverpool wakitoka nyuma kwa mabao matatu na kurudisha yote dhidi ya AC Milan mwaka 2005 jijini Istanbul. Baada ya ushindi wa penati nahodha Steven Gerrard na kiungo mwenza Xabi Alonso walichagua staili ya aina yake ya kushangilia kwa kupigana busu na kugonga vichwa vya habari vya media nyingi ulimwenguni.

Busu la Gary Neville dhidi ya Paul Scholes

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments