RONALDO AWEKA HISTORIA MPYA TENA
Mshambuliaji wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi. Kwa mabao hayo, Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kihistoria kufunga mabao zaidi ya 50 kwa misimu sita mfululizo
Category: uingereza
0 comments