LUKAKU APELEKA KILIO CHELSEA
Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku (kulia) akipiga shuti kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya timu yake ya zamani, Chelsea kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England jana Uwanja wa Goodison Park. Bao lingine la Everton lilifungwa na Lukaku pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Category: uingereza
0 comments