DIEGO COSTA AMNG'ATA BALE UWANJANI

Unknown | 10:00 AM | 0 comments

Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akimng'ata kiungo wa Everton, Gareth Barry jana Uwanja wa Goodison Park wakati wa mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England baina ya timu hizo. Everton ilishinda 2-0 mabao ya Romelu Lukaku yote. Costa alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuzinguana na kiungo huyo na pia inasemekana aliwaonyesha ishara mbaa mashabiki wa Everton jukwaani. Mwaka 2011, Luis Suarez alisimamishwa kwa kosa kama hilo ugenini kwa Fulham na amekwishafungiwa mara tatu maishani mwake kwa kung'ata wenzake PICHA ZAIDI GONGA HAPA

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments