BARCELONA YAENDELEZA UBABE WA USHINDI LA LIGA
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Neymar baada ya Muargentina huyo kufunga kwa mpira wa adhabu katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Sevilla usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Bao lingine la Barca lilifungwa na Gerard Pique, wakati la wageni lilifungwa na Vitolo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Category: uingereza
0 comments