SAMATTA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 77 GENK, ATAMBULISHWA RASMI

Unknown | 12:18 PM | 0 comments


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akikabidhiwa jezi namba 77 wakati wa utambulisho wake makao makuu ya klabu ya KRC Genk mjini Genk nchini Ubelgiji baada ya kusiani Mkataba wa miaka minne na nusu kujiunga na wababe hao.
Mbwana Samatta akiwa na mabosi wa Genk leo wakati wa kutambulishwa kwake kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari   credit: Bin zubery

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments