HATIMAYE PATO ATUA CHELSEA KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU DARAJANI
Mshambuliaji
wa kimataifa wa Brazil, Alexandre Pato akikabidhiwa jezi ya Chelsea na
Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo, Michael Emenalo makao makuu ya klabu
hiyo, viwanja vya mazoezi vya Cobham jana baada ya kusaini mkopo wa
hadi mwisho wa msimu kutoka Corinthians ya kwao, Brazil PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Category: uingereza
0 comments