BARCELONA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME

Unknown | 12:14 PM | 0 comments


Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou na kutinga Nusu Fainali. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez na Gerard Pique wakati la Bilbao limefungwa na  Inaki Williams PICHA ZAIDI GONGA HAPA

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments