ULIMWENGU, SAMATTA WAVUNJA REKODI

Unknown | 10:15 PM | 0 comments

Washambuliaji wa TP Mazembe ya DRC, Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu (kushoto) wakiwa nadhifu baada ya kuwasili nchini Japan tayari kwa Klabu Bingwa ya Dunia, michuano inayoanza Desemba 10. Mazembe itacheza mechi yake ya kwanza Desemba 13, na mshindi kati ya Sanfrecce Hiroshima ya Japan na Auckland City ya New Zealand Uwanja wa Nagai mjini Osaka. Timu nyingine zinazoshiriki michuano hiyo ni River Plate ya Argentina, Barcelona ya Hispania, Guangzhou Evergrande ya China na Club America ya Mexico. BIN ZUBERY

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments