MAN UNITED WASINDIKIZWA NA MITUTU YA BUNDUKI KWENDA UJERUMANI

Unknown | 10:12 PM | 0 comments


Kiungo wa Manchester United, Juan Mata akiwa Uwanja wa Ndege wa Manchester leo asubuhi huku pembeni yake kukiwa na askari Polisi mwenye mtutu wa bunduki, wakati wakisafiri kwenda Ujerumani kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kesho dhidi ya wenyeji Wolfsburg kesho

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments